haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
big up mwanangu mi nazishabkia sa na katuni zako hua kama nimesioma gazeti zima
By: bamcheja on August 6, 2009
at 9:53 am
thanx bamcheja
By: nathan on August 6, 2009
at 10:46 am