haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
Huyo anaitwa Hamza Hassan Juma ndio smart kwa SMZ kuzingumza kwa niaba ya SMZ….
By the asante kwa kazi yako…nimekubali mzee
By: mrfroasty on September 17, 2009
at 4:16 pm