kaka mi ni bonge la mdau wa katuni zako.tangu kitambo.nawezaje kupata katuni zako za kial cku kaka?ukiondoa zile za ITV za kibonzo ambazo huwa ckosi.pia kama inawezekana uwe unaweka kila cku na co kurudia zile zile kaka.
haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
kaka mi ni bonge la mdau wa katuni zako.tangu kitambo.nawezaje kupata katuni zako za kial cku kaka?ukiondoa zile za ITV za kibonzo ambazo huwa ckosi.pia kama inawezekana uwe unaweka kila cku na co kurudia zile zile kaka.
By: luwilo on November 18, 2010
at 11:16 am