haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
ZAWADI AU ADHABU?
By: Benedicto Mnubi on January 17, 2011
at 12:07 pm
Ndio hapo sasa Benedicto!
By: Nathan on January 18, 2011
at 10:51 am
Mteja so innocent hajui wa kumlaumu..is Tanesco still operating? If so wanatoa hoja gani
By: obange on January 20, 2011
at 2:08 am
Obange,
nadhani swali hapa ni ‘wanatoa kero gani?’
By: Nathan on January 20, 2011
at 11:27 am
Lakini ni kwanini ndugu zangu au tumelogwa…??? Yani unajua vitu vingine bwana.. bora tufanye kama Misri.
By: Bongo wire on February 9, 2011
at 2:35 am