“…Haya tena watu wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukicheka ndio hiki…www.nathankatuni.wordpress.com. Wee bofya tu mzee tucheke pamoja huku tukielimishana… aminia.” Kama una maoni au wazo la katuni kuhusu siasa, uchumi utamaduni na michezo wee mwaga hapa uone nitakavomwaga wino!!!!
Habari yako kaka? Binafsi nimevutiwa sana na katuni zako zilizo na ujumbe mzuri wa kuelimisha na kufurahisha jamii. Hongera!
Napenda kutoa wazo langu moja kwako, kama utaweza utuwekee katuni zenye mtiririko wa simulizi kama hata ni mara moja au mbili kwa wiki ili mradi tu tupate raha ya kutembelea blog yako mara kwa mara kama yalivyokuwa magazeti ya sani n.k hapo zamani sijui kama bado yapo.
Natumai unayatilia maanani maoni ya wapenzi wa blog yako na kuyatekeleza.
Kazi njema,
Alice.
By: Alice on August 4, 2008 at 9:05 pm
Hii nathan, this is http://lukwangule. blogspot.com nimeona vitu vyako.Kijiji lazima kikujuwe au vipi. Big up wangu
Bro Nathani, hapa ndio penyewe, leo ni mara kwanza kudhuru hapa na nitapatembelea kila siku ili nicheke na kupunguza stress za kubeba box ukerewe. Big-up sana mkuu.
By: Eusebio Njau on August 5, 2008 at 11:04 am
Poleni ninyi mbao bado mnafikiria mambo ya ufisadi, sisi tunona ni kama sigle ya Magwea ile ya mikasi! iliokuja kwa kazi na kuzimika mpaka leo jiiiiiiii, kuna sigle kibao zimetoka kama , uchawi bungeni, richimondi, zanzibar sion nchi, na wangwe, mabasi yaendayo kasi, mabasi makubwa dar, vipanya mwisho mwezi wa nane, na maisha bora kwa kila mtz. tunasubiri album mwaka 210
mzee wa bunju
By: Haji Lukamba on August 5, 2008 at 11:17 am
TFF na Yanga wapi wakweli au ni kukomoana juu ya mapato?
By: mtekateka on August 5, 2008 at 12:42 pm
Hongera, ila bado sijaona katuni ya maandamano ya wanafunzi kwenda kwa Kandoro.
By: Ernest Ndunguru on August 5, 2008 at 1:31 pm
An excellent step in your career path Nathan!…a bit late though! Expect a lot of hits…by the way,where is the hitcounter?….your cartoons are so amusing!Keep it up!
ringomoses
By: Anonymous on August 5, 2008 at 2:50 pm
Nimekuwa nakufuatilia kupitia ITV. Hongera sana
Kanyaga mafuta kijana, keep the fire burning kipaza sauti cah wale ambao hawana fursa
Kwa upendo
By: Dr. Mugonzibwa on August 5, 2008 at 6:46 pm
HAYA NDO MAPINDUZI TUNAYOYATAKA WALAJI. BIG UP MZEE
By: FRED on August 6, 2008 at 6:03 am
nilikuwa naskusaka kwa muda sasa na niliwahi pata namba yako toka kwa Fadhili na Adama Msamba lakini nikapoteza namba. Kazi zako nazipenda sana na upo juu.
By father Kidevu wa http://www.mrokim.blogspot.com
Mzee Wa Kijasti Nakupongeza kwa uamuzi wako ila naomba unisaidie kuwasaidia Watanzania wenzangu Wavaa suti (Kwa kutumia katuni zako kamanda wangu) ambao hawataki kung’oa lebo kwenye suti zao mpya kwenye mikono kwani kimsingi lebo hizo huwekwa kwa ajili ya kumuwezesha mnunuzi kutambua aina ya suti na sio kuiacha kwenye vazi hilo wakati wote.
I appreciate your “SACRED” works, daladala live ni kiboko mzee wangu.
Katang
By: frederick katang on August 11, 2008 at 1:54 pm
Kazi ni nzuri ila jitahidi kurekebisha ‘fonts’ za maneno yaliyo katika katuni za ndani ya dala dala live, maneno yake ni madogo madogo kiasi cha kutoonekana/kusomeka vizuri.
Zirekebishe hizo katuni ili ziweze kukuzika (‘enlarge photo’) na kusomeka vizuri vizuri.
By: sultan on September 1, 2008 at 5:04 am
Mhhh, ama kweli hizo katuni zanikumbusha mbali. Didn’t know if kuna kijiwe cha kucheka, ndo nimejua leo walahi!!! Bora, coz nakumbuka zile katuni za katika gazeti la majira za Jumapili, nimesahau ile safu huwa inaitwaje.
Mambo vipi kaka,
Mohammed Kamata hapa mtoto wa baba mdogo penseli..Nimecheck vitu vyako katika nyanja zote unazofanyia kazi…uko juu kaka mkubwa, plz let we keep in touch kwa ishu fulani..tuambukizane au vipi mkuu?
Keep on doing brother.
Hi Nathan,
Hongera nimekukubali, kwani katuni zako zinafikisha ujumbe katika jamii bila kificho na kuelimisha jamii kwa ujumla watu tumekuwa tunaikubali kazi ya katuni sio kama zamani mlikuwa hamtambuliki enzi za chakubanga , nakuomba ili kuelimisha jamii ungewachukua na wachoraji wadogo wafundishe watambulike kama ww itakua bomba.
keep on
Imman
By: Imman on January 7, 2009 at 9:47 am
Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani. Kazi nzuri as always. Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. TUKO PAMOJA
kaka endelea tu! ujumbe unawafikia,kazi zako ni nzuri nazifurahia niko pamoja na wewe keep it up
By: Dan J.N. on February 26, 2009 at 7:46 pm
kanzi nzuri na inaujumbe kaza buti mtu wangu.
By: stanley on March 14, 2009 at 12:35 pm
Hi Nathan site yako imetulia safi sana kwa kuwa mbunifu wa maswala kama haya tena kwa sisi wapenzi wa katuni da umetufikisha sana hapo fine big up Nathan
By: Felix on March 16, 2009 at 6:37 am
Mambo yako supa sana Nathan! Katuni zako zote zimetulia sana! duh bigup!
By: Aman on March 16, 2009 at 10:51 am
Asanteni sana wadau wangu. Nathamini sana mchango wenu.
Nathan
By: Anonymous on March 16, 2009 at 5:27 pm
Kaka mambo vipi??
naonavitu vyako mkuu,vinatisha kama janga la njaa na nakuhakikishia mkuu ukiendelea kukaza buti utawapiga bao la kisigino wengi tu.nakutakia kila la kheri katika kuendeleza libeneke lako mkuu.
nimepend hii michoro sana inaburudisha enedelea kufanya hii kazi nzuri inayopendeza
By: jenifer on April 15, 2009 at 5:52 am
i am happy to link you to the upcoming cartoonists and graphic designers of JICHO KWA VIJANA a CBO in Nyegezi Mwanza. because your work is interesting with unique creativity….
Jambo Nathan
ninafurahi unaonyesha kazi yako katika Internet. Tena ninataka kuuliza jinsi gani tutaweza kusaidia yule Cartoonist kutoka Somalia. Daniel
Hi brother kazi zako hazina maswali ni majibu tosha sana kaka,please kaza buti mana siku hizi sanaa ni wengi wanaifanya wewe endelea na kazi zako huku ukiwa mbunifu kila siku,Mungu atafanya njia kwako shaka ondoa kaka,Binafsi nakupa hongera zako kaka
Dah mzee hili ni bonge la step forward.Endelea hivyo hivyo mzee,hongera kwa elimu unayotoa na kwa kutukumbuka wapenzi wa katuni kwa sababu tulisahaulika toka enzi ya SANIFU.
BIG UP……..
By: Abeid on July 27, 2009 at 11:03 pm
HI
kaka hapa mmefanya kitu cha maana
ila ikiwezekana fanyeni mpango mwanzishe tena
gazeti la Sanifu
na uhakika hata mkiuza Tshs 500 kwa nakala
tutanunua
BIG UP
By: Maembe on July 31, 2009 at 8:16 am
kaka mnatisha and am happy leo kutembelea web yako.keep it up
By: fadhil linga on July 31, 2009 at 2:05 pm
Kazi nzuri sana. Shukrani kwa kumulika kio cha jamii.
By: mike IT on August 4, 2009 at 7:02 am
Hongera Nat wewe ni “genius” Keep up good work.
Naomba utuchoree katuni ya wabunge jinsi wanavyoichachafya serikali bungeni wakati wenyewe hamna lolote la maana wanalolifanya majimboni mwao.wananchi bado wanasota .Si unajuwa uchaguzi ni mwakani kila mbunge anataka kuongea na kuikosoa serikali.Hii ni janja yao tumewagungua.
Mdau wa CA
By: Mazebo Duma on August 4, 2009 at 10:21 pm
kaka habari?
madhila ya mikopo ya kinamama ni kama mambo ya kujitakia kwani wangejua ujaja wa lugha wala wasingekopa.
kaw mfano finca wanasema “SMALL LOAN BIG CHANGES” lakini ikitoa N kwenye changes na kuweka R ingesomeka “SMALL LOAN BIG CHARGES maana riba ni karibu 69% . unaipata hiyo
By: Juma Majjey on August 5, 2009 at 7:04 am
Thanks wadau wangu kwa maoni yenu yenye mtazamo mpana zaidi, nitayafanyia kazi.
SulemaRX, Challo asanteni sana kwa kutembelea blog na pongezi zenu.
Nathan
By: Anonymous on August 24, 2009 at 4:49 am
kaka nakukubali uaelimisha jamii kaza butim usibweteke kwa ulipofika kuwa mbunifu zaidin tupo pamoja nawewe
By: BOAZ on September 14, 2009 at 6:56 am
Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani,Full Elimu mkubwa.Hebu ifanyie kazi hii ya Sticker za Fire mkubwa.
nakutakia Kazi Njema
Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. SAFI SANA
By: TALUKA on November 18, 2009 at 8:50 am
wela wela kaka long taimu . nimevisiti. uko gado poa mwana wanasema waswahili wa dar nitakuvisiti tena kile kidaladala mbona umemwachia dereva asiyejua kuliendesha
Hope you can remember me. Worked together @Tinga! Good work you’re doing here! I still love your toons!
Keep up!
.Waigwa.
By: Judy Waigwa on April 27, 2011 at 8:31 pm
mwana vipi mambo, mimi ni mkazi wa mgeni nani kata ya kijichi nina mawozo tasa kuhusu mgomo wa madaktari; kwa upande wangu mimi naona nikituko kwani hawa madktari tumewasomesha kwa pesa zetu lkn chakunisangaza wana goma kwa kisingizio cha masliai ambayo hata kama wao ndio wangekuwa viongozi hawange kubali kulipa hicho wanacho dai. Pia nawananchi wanao waunga mkono nawashanga kwakuwa wao ndio waathirika wakuu hata kabla ya mgomo kwa maana ya kwamba ukisha ugua cha kwanza nikuwa uwe unapesa kwakuwa huyu docta anae dai maslahi madogo hata kushughulikia kama pesa huna kinyime cha hayo utaa hospto mpaka ukome. mimi sipingi maslai ninachosema je wana fanya kazi kwa juhudi? au niwapiga debe gari ikijaa pesa utazani wao ni ngazi za kupandi bas kwa leo naishia hapa.
By: babu chuchu on February 4, 2012 at 6:21 am
ndio kwanza naonekana, nipe muda mwanangu, nafagilia sana… pamoja sana… ‘i love cartoon messages very much, keep it up…’
haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
Kaka Kijasti, huu ndo mwendo wa kwenda na teknohama… hongera!!!
By: Robert on July 28, 2008
at 5:49 pm
Habari yako kaka? Binafsi nimevutiwa sana na katuni zako zilizo na ujumbe mzuri wa kuelimisha na kufurahisha jamii. Hongera!
Napenda kutoa wazo langu moja kwako, kama utaweza utuwekee katuni zenye mtiririko wa simulizi kama hata ni mara moja au mbili kwa wiki ili mradi tu tupate raha ya kutembelea blog yako mara kwa mara kama yalivyokuwa magazeti ya sani n.k hapo zamani sijui kama bado yapo.
Natumai unayatilia maanani maoni ya wapenzi wa blog yako na kuyatekeleza.
Kazi njema,
Alice.
By: Alice on August 4, 2008
at 9:05 pm
Hii nathan, this is http://lukwangule. blogspot.com nimeona vitu vyako.Kijiji lazima kikujuwe au vipi. Big up wangu
By: Beda msimbe on August 5, 2008
at 7:25 am
Hii nathan, this is http://lukwangule.blogspot.com nimeona vitu vyako.Kijiji lazima kikujuwe au vipi. Big up wangu
By: Beda msimbe on August 5, 2008
at 7:27 am
Bro Nathani, hapa ndio penyewe, leo ni mara kwanza kudhuru hapa na nitapatembelea kila siku ili nicheke na kupunguza stress za kubeba box ukerewe. Big-up sana mkuu.
By: Eusebio Njau on August 5, 2008
at 11:04 am
Poleni ninyi mbao bado mnafikiria mambo ya ufisadi, sisi tunona ni kama sigle ya Magwea ile ya mikasi! iliokuja kwa kazi na kuzimika mpaka leo jiiiiiiii, kuna sigle kibao zimetoka kama , uchawi bungeni, richimondi, zanzibar sion nchi, na wangwe, mabasi yaendayo kasi, mabasi makubwa dar, vipanya mwisho mwezi wa nane, na maisha bora kwa kila mtz. tunasubiri album mwaka 210
mzee wa bunju
By: Haji Lukamba on August 5, 2008
at 11:17 am
TFF na Yanga wapi wakweli au ni kukomoana juu ya mapato?
By: mtekateka on August 5, 2008
at 12:42 pm
Hongera, ila bado sijaona katuni ya maandamano ya wanafunzi kwenda kwa Kandoro.
By: Ernest Ndunguru on August 5, 2008
at 1:31 pm
An excellent step in your career path Nathan!…a bit late though! Expect a lot of hits…by the way,where is the hitcounter?….your cartoons are so amusing!Keep it up!
ringomoses
By: Anonymous on August 5, 2008
at 2:50 pm
Nimekuwa nakufuatilia kupitia ITV. Hongera sana
Kanyaga mafuta kijana, keep the fire burning kipaza sauti cah wale ambao hawana fursa
Kwa upendo
By: Dr. Mugonzibwa on August 5, 2008
at 6:46 pm
HAYA NDO MAPINDUZI TUNAYOYATAKA WALAJI. BIG UP MZEE
By: FRED on August 6, 2008
at 6:03 am
nilikuwa naskusaka kwa muda sasa na niliwahi pata namba yako toka kwa Fadhili na Adama Msamba lakini nikapoteza namba. Kazi zako nazipenda sana na upo juu.
By father Kidevu wa http://www.mrokim.blogspot.com
By: Mroki Mroki on August 8, 2008
at 12:05 pm
Kazi zako nzuri sana, Hongera.
By: Mamdogo on August 10, 2008
at 10:30 am
Mzee Wa Kijasti Nakupongeza kwa uamuzi wako ila naomba unisaidie kuwasaidia Watanzania wenzangu Wavaa suti (Kwa kutumia katuni zako kamanda wangu) ambao hawataki kung’oa lebo kwenye suti zao mpya kwenye mikono kwani kimsingi lebo hizo huwekwa kwa ajili ya kumuwezesha mnunuzi kutambua aina ya suti na sio kuiacha kwenye vazi hilo wakati wote.
I appreciate your “SACRED” works, daladala live ni kiboko mzee wangu.
Katang
By: frederick katang on August 11, 2008
at 1:54 pm
Very good work, keep it up and congratulations!!!
By: Frank on August 13, 2008
at 7:31 am
Nimekukubali mzee, me napenda sana daladala live
By: Aggrey on August 13, 2008
at 4:06 pm
Hongera kijana kwa kazi nzuri.
Kazi ni nzuri ila jitahidi kurekebisha ‘fonts’ za maneno yaliyo katika katuni za ndani ya dala dala live, maneno yake ni madogo madogo kiasi cha kutoonekana/kusomeka vizuri.
Zirekebishe hizo katuni ili ziweze kukuzika (‘enlarge photo’) na kusomeka vizuri vizuri.
By: sultan on September 1, 2008
at 5:04 am
Mhhh, ama kweli hizo katuni zanikumbusha mbali. Didn’t know if kuna kijiwe cha kucheka, ndo nimejua leo walahi!!! Bora, coz nakumbuka zile katuni za katika gazeti la majira za Jumapili, nimesahau ile safu huwa inaitwaje.
Big up kaka!!
By: Trisha on November 12, 2008
at 1:08 pm
Mambo vipi kaka,
Mohammed Kamata hapa mtoto wa baba mdogo penseli..Nimecheck vitu vyako katika nyanja zote unazofanyia kazi…uko juu kaka mkubwa, plz let we keep in touch kwa ishu fulani..tuambukizane au vipi mkuu?
Keep on doing brother.
By: Kamata Arts & Designs on November 18, 2008
at 12:20 pm
Hi Nathan,
Hongera nimekukubali, kwani katuni zako zinafikisha ujumbe katika jamii bila kificho na kuelimisha jamii kwa ujumla watu tumekuwa tunaikubali kazi ya katuni sio kama zamani mlikuwa hamtambuliki enzi za chakubanga , nakuomba ili kuelimisha jamii ungewachukua na wachoraji wadogo wafundishe watambulike kama ww itakua bomba.
keep on
Imman
By: Imman on January 7, 2009
at 9:47 am
Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani. Kazi nzuri as always. Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. TUKO PAMOJA
By: Semwaiko on January 12, 2009
at 9:01 am
Hongera sana nathan kwa kazi yako nzuri,mie rafiki nilikaa mbagala sasa niko Norway,tuwasiliane email yangu unayo
By: L.L URASA on January 26, 2009
at 8:21 am
HONGERA KAKA. SIJATEMBELEA SIKU MINGI HAPA UBAONI, LEO NIMEJIKONGOJA, NAONA KAZI IMEENDA SHULE ZAIDI, ENDELEA KUKAZA BUTI. BADO NAIROBI MZEE??
LINGS
By: Lingson Adam on February 7, 2009
at 9:47 pm
kaka endelea tu! ujumbe unawafikia,kazi zako ni nzuri nazifurahia niko pamoja na wewe keep it up
By: Dan J.N. on February 26, 2009
at 7:46 pm
kanzi nzuri na inaujumbe kaza buti mtu wangu.
By: stanley on March 14, 2009
at 12:35 pm
Hi Nathan site yako imetulia safi sana kwa kuwa mbunifu wa maswala kama haya tena kwa sisi wapenzi wa katuni da umetufikisha sana hapo fine big up Nathan
By: Felix on March 16, 2009
at 6:37 am
Mambo yako supa sana Nathan! Katuni zako zote zimetulia sana! duh bigup!
By: Aman on March 16, 2009
at 10:51 am
Asanteni sana wadau wangu. Nathamini sana mchango wenu.
Nathan
By: Anonymous on March 16, 2009
at 5:27 pm
Kaka mambo vipi??
naonavitu vyako mkuu,vinatisha kama janga la njaa na nakuhakikishia mkuu ukiendelea kukaza buti utawapiga bao la kisigino wengi tu.nakutakia kila la kheri katika kuendeleza libeneke lako mkuu.
pamoja kwa sana tuuuu.
ukipata nafasi waweza nitilia maguu katika mtaa wangu huu hapa http://michuzijr2.wordpress.com
pamojah Mkuu
By: jamiothman on March 23, 2009
at 4:37 pm
mhm babu kubwa kazi nzuri sana make inafurahisha na kuelimisha pia. big up!
By: lily on March 27, 2009
at 11:58 am
Kazi nzuri sana kaka,endelea kuwa mbunifu zaidi. Big up.
By: amanimpindi on March 28, 2009
at 1:03 pm
Hongera kaka Nathan.
I love ur cartoons, very educative and yet still funny.
Keep up the good work.
God bless u and best wishes always.
By: joan on April 2, 2009
at 10:24 am
upo up.jaribu kwa google tafuta international cartoons contests katuni zako ziko juu.unajennga maana.tupo pamoja….tusukume gurudumu
By: paul mbezi on April 7, 2009
at 10:43 am
nimepend hii michoro sana inaburudisha enedelea kufanya hii kazi nzuri inayopendeza
By: jenifer on April 15, 2009
at 5:52 am
i am happy to link you to the upcoming cartoonists and graphic designers of JICHO KWA VIJANA a CBO in Nyegezi Mwanza. because your work is interesting with unique creativity….
By: David s. Kabati on April 18, 2009
at 10:38 am
Hi David,
Shaka ondoa. Tuendelee kuwasiliana.
By: Nathan on April 20, 2009
at 5:03 pm
BIG UP MWANA, HALELUYA…
By: fadhili mohamed on April 26, 2009
at 3:06 pm
Jambo Nathan
ninafurahi unaonyesha kazi yako katika Internet. Tena ninataka kuuliza jinsi gani tutaweza kusaidia yule Cartoonist kutoka Somalia. Daniel
By: Danie Augusta on May 25, 2009
at 8:37 pm
hii is one of the best few ways to have your voice heard. in our African and Asian countries
where every nail that sticks up gets hammered down
bigUP
By: Isaack on July 2, 2009
at 4:03 am
Hi brother kazi zako hazina maswali ni majibu tosha sana kaka,please kaza buti mana siku hizi sanaa ni wengi wanaifanya wewe endelea na kazi zako huku ukiwa mbunifu kila siku,Mungu atafanya njia kwako shaka ondoa kaka,Binafsi nakupa hongera zako kaka
By: Babito on July 25, 2009
at 10:45 am
Thanks Babito.
By: Nathan on July 27, 2009
at 10:41 am
Dah mzee hili ni bonge la step forward.Endelea hivyo hivyo mzee,hongera kwa elimu unayotoa na kwa kutukumbuka wapenzi wa katuni kwa sababu tulisahaulika toka enzi ya SANIFU.
BIG UP……..
By: Abeid on July 27, 2009
at 11:03 pm
HI
kaka hapa mmefanya kitu cha maana
ila ikiwezekana fanyeni mpango mwanzishe tena
gazeti la Sanifu
na uhakika hata mkiuza Tshs 500 kwa nakala
tutanunua
BIG UP
By: Maembe on July 31, 2009
at 8:16 am
kaka mnatisha and am happy leo kutembelea web yako.keep it up
By: fadhil linga on July 31, 2009
at 2:05 pm
Kazi nzuri sana. Shukrani kwa kumulika kio cha jamii.
By: mike IT on August 4, 2009
at 7:02 am
Hongera Nat wewe ni “genius” Keep up good work.
Naomba utuchoree katuni ya wabunge jinsi wanavyoichachafya serikali bungeni wakati wenyewe hamna lolote la maana wanalolifanya majimboni mwao.wananchi bado wanasota .Si unajuwa uchaguzi ni mwakani kila mbunge anataka kuongea na kuikosoa serikali.Hii ni janja yao tumewagungua.
Mdau wa CA
By: Mazebo Duma on August 4, 2009
at 10:21 pm
kaka habari?
madhila ya mikopo ya kinamama ni kama mambo ya kujitakia kwani wangejua ujaja wa lugha wala wasingekopa.
kaw mfano finca wanasema “SMALL LOAN BIG CHANGES” lakini ikitoa N kwenye changes na kuweka R ingesomeka “SMALL LOAN BIG CHARGES maana riba ni karibu 69% . unaipata hiyo
By: Juma Majjey on August 5, 2009
at 7:04 am
Thanks wadau wangu kwa maoni yenu yenye mtazamo mpana zaidi, nitayafanyia kazi.
By: Nathan on August 5, 2009
at 8:04 am
big up kaka kazi yako nimeipenda. hongera
By: SUlemaRX on August 7, 2009
at 4:48 pm
Uko juu Nathan!Vey educative and highly amusing.
By: Challo on August 24, 2009
at 12:37 am
SulemaRX, Challo asanteni sana kwa kutembelea blog na pongezi zenu.
Nathan
By: Anonymous on August 24, 2009
at 4:49 am
kaka nakukubali uaelimisha jamii kaza butim usibweteke kwa ulipofika kuwa mbunifu zaidin tupo pamoja nawewe
By: BOAZ on September 14, 2009
at 6:56 am
Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani,Full Elimu mkubwa.Hebu ifanyie kazi hii ya Sticker za Fire mkubwa.
nakutakia Kazi Njema
Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. SAFI SANA
By: TALUKA on November 18, 2009
at 8:50 am
wela wela kaka long taimu . nimevisiti. uko gado poa mwana wanasema waswahili wa dar nitakuvisiti tena kile kidaladala mbona umemwachia dereva asiyejua kuliendesha
By: Mie waniita beda on July 7, 2010
at 5:45 pm
hongera sana
By: andrew on October 11, 2010
at 3:41 pm
hongera nathani kazi nzuri
By: andrew on October 11, 2010
at 3:42 pm
Cograts Mr, always aim higher, you wont mess-up!!!!!!!!!!
By: SEIF AHAMAD KUCHENGO on October 20, 2010
at 7:09 am
Hi Seif.
thank you for your compliment.
By: Nathan on October 20, 2010
at 10:15 am
Heey Nathan!!
Hope you can remember me. Worked together @Tinga! Good work you’re doing here! I still love your toons!
Keep up!
.Waigwa.
By: Judy Waigwa on April 27, 2011
at 8:31 pm
mwana vipi mambo, mimi ni mkazi wa mgeni nani kata ya kijichi nina mawozo tasa kuhusu mgomo wa madaktari; kwa upande wangu mimi naona nikituko kwani hawa madktari tumewasomesha kwa pesa zetu lkn chakunisangaza wana goma kwa kisingizio cha masliai ambayo hata kama wao ndio wangekuwa viongozi hawange kubali kulipa hicho wanacho dai. Pia nawananchi wanao waunga mkono nawashanga kwakuwa wao ndio waathirika wakuu hata kabla ya mgomo kwa maana ya kwamba ukisha ugua cha kwanza nikuwa uwe unapesa kwakuwa huyu docta anae dai maslahi madogo hata kushughulikia kama pesa huna kinyime cha hayo utaa hospto mpaka ukome. mimi sipingi maslai ninachosema je wana fanya kazi kwa juhudi? au niwapiga debe gari ikijaa pesa utazani wao ni ngazi za kupandi bas kwa leo naishia hapa.
By: babu chuchu on February 4, 2012
at 6:21 am
ndio kwanza naonekana, nipe muda mwanangu, nafagilia sana… pamoja sana… ‘i love cartoon messages very much, keep it up…’
By: Kiyoya on March 27, 2012
at 8:54 am