Posted by: nathankatuni | July 30, 2008

mh!

Advertisements

Responses

  1. Ndiyo maana wengine yamewashinda wanapeleka watoto wao wakasomee nje ya nchi kwenye elimu bora,siyo bora elimu.

  2. Hata matokeo yangekuwa mazuri vipi, wanafunzi wote wakafaulu kuingia sekondari,jee sekondari zetu zina uwezo wa kuwachukua woteee? Hao waliofaulu wengine hawapata shule.
    Pamoja na walimu haba na maslahi duni kwa walimu serikali ifanye juhudi ya kuongeza shule za sekondari.
    Pia si kila anaemaliza darasa la saba lazima aende sekondari kuna ambao ni wazuri kwenye kazi za mikono kuliko masomo ya sekondari, serikali pia hapa ihakikishe vyuo vya ufundi vipo na vinatosheleza mahitaji.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: