Posted by: nathankatuni | July 30, 2008

ngoja tuone

Advertisements

Responses

  1. Hiyo katuni mzee Kijasti poa sana maana bei ya mafuta ikishatangazwa redioni basi ghafla daladala nazo zinapandisha bei ya nauli papo kwa hapo serikali yenyewe imestarehe kwenye KIYOYOZI bila kujali wananchi wanaumia. Swali la msingi je, tuliwachagua wabunge ili wazungumzie suala la EPA na RICHMOND tu au kutusaidia kutua kero za wananchi? Au ndo ALIYESHIBA hamjui mwenye NJAA kwa sababu wao wana uhakika?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: