Posted by: nathankatuni | August 2, 2008

lia kaka lia

Advertisements

Responses

  1. Hongera Nathan!!

    On a topic related to your cartoon here; wimbi la kuanguka kwa majongo katika miaka ya karibuni linatisha kwakweli, mwishowe watu tutaogopa hata kwenda katika shughuli K’koo.

    Makandarasi wazawa wamekuwa kwa miaka mingi wanalalamika kuwa hawapewi tenda na wanashindwa jinsi ya kujikwamua. Ninakubali kweli walikuwa hawathaminiwi kwa miaka mingi. Lakini hizi projekt chache walizopata baadhi yao wanatia kitumbua mchanga. Yaani watu hawafikirii mbele kabisa; mtu anaona bora aibe milioni chache kwa kubanie saruji katika zege; matokeo yake anaangusha ghorofa. Kesho na keshokutwa watu wanashindwa kukupa kazi zaidi. Yaani milioni chache unazozibania leo zinakukosesha mabilioni siku za usoni.

    Hii sio kwa wote, ila wale wachache mnaoharibu sifa ya weledi wenu na mnakosesha hata wenzenu kula. Fanyeni kazi kwa uaminifu na maadili na mafanikio yatakuja. Tamaa ya mafanikio ya haraka itawapeleka jela mwishowe.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: