Posted by: nathankatuni | January 7, 2009

kikulacho…

dentjiraniteache-parent1


Responses

  1. Mauaji ya albino tunahusika, mimba za utoto tumo, taifa linakwenda wapi hili?
    Allan-Mwz

  2. Vitabu vya dini vinasema Mungu alitia kiberiti Sodoma na Gomola kwa sababu ya dhambi ya uasherati na sisi Tanzania tujiandae na moto wa mauaji ya albino.

  3. Joy nakuunga mkono mia kwa mia. Pia Nathan hongera sana kwa kazi nzuri. Endelea kuelimisha jamii ili tunusuru taifa letu na hawa mashetani wachache wanaotaka utajiri haramu.


Leave a comment

Categories