Posted by: nathankatuni | February 22, 2009

ze animesheni

pix-4-x1

Kwenye animation kuna makundi mengi. Mfano, wachoraji, wabunifu, waumbaji, na animetazi. Makundi haya ni mbali na watunga hadithi, watia sauti nk. Kwenya projekti hii, mdau wenu pichani (kulia ninayetabasamu)  niko kwenye kundi la animetazi. Sikutaka kuwepo kwenye kundi la kuchoraji kwa sababu nimekuwa nikichora katuni miaka mingi. Makundi ya animetazi yako matano, kila mmoja lina jukumu la kuzalisha animation moja ya dakika kumi ndani ya wiki tano!!!!! ni kivumbi. Kwa wenye kujua kidogo animesheni, ni hivi, kila animetazia anatakiwa(lazima) kuanimeti fremu zisizopungua 3000 kwa wiki tano!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: