Posted by: nathankatuni | March 21, 2009

aibu!

katuni-majira19309

Advertisements

Responses

  1. Maisha yetu yemeshakuwa ya aibu tupu mtu wangu! Nasema hivi kwa sababu hata ombaomba ndani ya jiji la DSM sasa hivi inatisha. Imeshafika hali ambayo hadi watu wameanza utani kuwa eti Tanzania inao ‘professional beggars’. Kwa taifa kama taifa ni aibu mno maana kila mtaa ukifika hali ni mbaya. Yaani hata city center inakuwa kama uko manzese bwana? Kuna sehemu ambayo inanikera kwa mfano pale karibia na makutano ya Morogoro Road na Lumumba. Mcahna kweupe utakuta watu wapo hapo tena bila aibu na watoto wao wadogo wakitegemea kuomba chochote kutoka kwa wapita njia! Mie huwa nashangaa sana kuwa mamlaka husika huwa haijui hilo au inakuwaje? Hadi jiji litie kinyaa! Mbona wako tayari kutuma mgambo wakawakamate watu wazima wenye akili zao wakijitafutia riziki zao eti wao ni ‘maching’ na hawaruhusiwi. Kwani kwa mantiki hiyo wanataka kusema kuwa wako tayari kuona watu wakiomba kuliko kufanya kazi zao za kujipatia kipato?
    Hiyo ndiyo maana yake maana kama wanaotafuta wanakimbizwakimbizwa ilihali wanaoombaomba hawana shida na wako ‘salama’ kabisa then wao (wanaoombaomba) wana maana zaidi mbele zao hivyo wanashauri watu waende kwenye kuomba zaidi. Enzi za ‘Mzee Makamba’ hali kidogo ilikuwa siyo kama hapa tulipo sasa. Alijitahidi ila kwa huyu mzee wetu Kandoro sijui vipi!
    Mie sijui wadau wengine mnasemaje kuhusu hili.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: