Posted by: nathankatuni | July 13, 2009

wawekwe zaidi

itv katuni 6 and 7 July, 2009 copy

Advertisements

Responses

  1. Daa! Serikali imezidi kukumbatia wanaojiita wawekezji kumbe wababaishaji. Eti anajiita mwekezaji halafu wanamkopesha mamilion ya shilingi kama siyo mabilion, sasa si afadhali ukawekeza mwenyewe kuliko kumkopesha mtu wa nje ili awekeze. Watumishi wa umma waliowengi ni wabinafsi na wajinga tena sana! mikataba inayosainiwa ni ya hovyo na kwa usiri mkubwa na ndiyo maana vitendo vya uhalifu havipunguwi na kama watendaji wa umma hawatabadilika wahalifu watazidi kuongezeka tena kwa kasi! mungu azidi kuwaumbua na ikibidi awafutilie mbali kama hawatabadilika.Kwa kweli inasikitisha kuona huduma za jamii ni mbovu huku rasirimali za kufamtu


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: