Posted by: nathankatuni | August 21, 2009

tutafika?

itv katuni 6 and 7 Agosti, 2009

Advertisements

Responses

  1. Hamna jambo linalonitisha Tanzania kama ajali. Ingawa asilimia kubwa ya maisha tunaishi kwa hofu, kwani hatujui kama tutakufa kwa dawa feki, au chakula kibovu.. lakini ajali ndio mbaya zaidi. Kila ukipanda gari.. unaona hatari tu. Madereva hawajali maisha ya wengine. Tatizo ni kuwa.. sio ukiwa abiri atu, unaweza hata kuwa dereva mwangalifu.. ikaja gari huko haijagusa garage tangu imenunuliwa miaka 25 iliyopita… ikakugonga.. ukafa.. hata kulalamika huwezi, kwani ushakufa.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Categories

%d bloggers like this: