Kitabu cha wageni

“…Haya tena watu wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukicheka ndio hiki…http://www.nathankatuni.wordpress.com. Wee bofya tu mzee tucheke pamoja huku tukielimishana… aminia.” Kama una maoni au wazo la katuni kuhusu siasa, uchumi utamaduni na michezo wee mwaga hapa uone nitakavomwaga wino!!!!

Athante kwa kunitembelea.

Responses

 1. Kaka Kijasti, huu ndo mwendo wa kwenda na teknohama… hongera!!!

 2. Habari yako kaka? Binafsi nimevutiwa sana na katuni zako zilizo na ujumbe mzuri wa kuelimisha na kufurahisha jamii. Hongera!
  Napenda kutoa wazo langu moja kwako, kama utaweza utuwekee katuni zenye mtiririko wa simulizi kama hata ni mara moja au mbili kwa wiki ili mradi tu tupate raha ya kutembelea blog yako mara kwa mara kama yalivyokuwa magazeti ya sani n.k hapo zamani sijui kama bado yapo.
  Natumai unayatilia maanani maoni ya wapenzi wa blog yako na kuyatekeleza.

  Kazi njema,
  Alice.

 3. Hii nathan, this is http://lukwangule. blogspot.com nimeona vitu vyako.Kijiji lazima kikujuwe au vipi. Big up wangu

 4. Hii nathan, this is http://lukwangule.blogspot.com nimeona vitu vyako.Kijiji lazima kikujuwe au vipi. Big up wangu

 5. Bro Nathani, hapa ndio penyewe, leo ni mara kwanza kudhuru hapa na nitapatembelea kila siku ili nicheke na kupunguza stress za kubeba box ukerewe. Big-up sana mkuu.

 6. Poleni ninyi mbao bado mnafikiria mambo ya ufisadi, sisi tunona ni kama sigle ya Magwea ile ya mikasi! iliokuja kwa kazi na kuzimika mpaka leo jiiiiiiii, kuna sigle kibao zimetoka kama , uchawi bungeni, richimondi, zanzibar sion nchi, na wangwe, mabasi yaendayo kasi, mabasi makubwa dar, vipanya mwisho mwezi wa nane, na maisha bora kwa kila mtz. tunasubiri album mwaka 210

  mzee wa bunju

 7. TFF na Yanga wapi wakweli au ni kukomoana juu ya mapato?

 8. Hongera, ila bado sijaona katuni ya maandamano ya wanafunzi kwenda kwa Kandoro.

 9. An excellent step in your career path Nathan!…a bit late though! Expect a lot of hits…by the way,where is the hitcounter?….your cartoons are so amusing!Keep it up!
  ringomoses

 10. Nimekuwa nakufuatilia kupitia ITV. Hongera sana
  Kanyaga mafuta kijana, keep the fire burning kipaza sauti cah wale ambao hawana fursa
  Kwa upendo

 11. HAYA NDO MAPINDUZI TUNAYOYATAKA WALAJI. BIG UP MZEE

 12. nilikuwa naskusaka kwa muda sasa na niliwahi pata namba yako toka kwa Fadhili na Adama Msamba lakini nikapoteza namba. Kazi zako nazipenda sana na upo juu.
  By father Kidevu wa http://www.mrokim.blogspot.com

 13. Kazi zako nzuri sana, Hongera.

 14. Mzee Wa Kijasti Nakupongeza kwa uamuzi wako ila naomba unisaidie kuwasaidia Watanzania wenzangu Wavaa suti (Kwa kutumia katuni zako kamanda wangu) ambao hawataki kung’oa lebo kwenye suti zao mpya kwenye mikono kwani kimsingi lebo hizo huwekwa kwa ajili ya kumuwezesha mnunuzi kutambua aina ya suti na sio kuiacha kwenye vazi hilo wakati wote.

  I appreciate your “SACRED” works, daladala live ni kiboko mzee wangu.

  Katang

 15. Very good work, keep it up and congratulations!!!

 16. Nimekukubali mzee, me napenda sana daladala live

 17. Hongera kijana kwa kazi nzuri.

  Kazi ni nzuri ila jitahidi kurekebisha ‘fonts’ za maneno yaliyo katika katuni za ndani ya dala dala live, maneno yake ni madogo madogo kiasi cha kutoonekana/kusomeka vizuri.

  Zirekebishe hizo katuni ili ziweze kukuzika (‘enlarge photo’) na kusomeka vizuri vizuri.

 18. Mhhh, ama kweli hizo katuni zanikumbusha mbali. Didn’t know if kuna kijiwe cha kucheka, ndo nimejua leo walahi!!! Bora, coz nakumbuka zile katuni za katika gazeti la majira za Jumapili, nimesahau ile safu huwa inaitwaje.

  Big up kaka!!

 19. Mambo vipi kaka,
  Mohammed Kamata hapa mtoto wa baba mdogo penseli..Nimecheck vitu vyako katika nyanja zote unazofanyia kazi…uko juu kaka mkubwa, plz let we keep in touch kwa ishu fulani..tuambukizane au vipi mkuu?
  Keep on doing brother.

 20. Hi Nathan,
  Hongera nimekukubali, kwani katuni zako zinafikisha ujumbe katika jamii bila kificho na kuelimisha jamii kwa ujumla watu tumekuwa tunaikubali kazi ya katuni sio kama zamani mlikuwa hamtambuliki enzi za chakubanga , nakuomba ili kuelimisha jamii ungewachukua na wachoraji wadogo wafundishe watambulike kama ww itakua bomba.

  keep on

  Imman

 21. Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani. Kazi nzuri as always. Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. TUKO PAMOJA

 22. Hongera sana nathan kwa kazi yako nzuri,mie rafiki nilikaa mbagala sasa niko Norway,tuwasiliane email yangu unayo

 23. HONGERA KAKA. SIJATEMBELEA SIKU MINGI HAPA UBAONI, LEO NIMEJIKONGOJA, NAONA KAZI IMEENDA SHULE ZAIDI, ENDELEA KUKAZA BUTI. BADO NAIROBI MZEE??

  LINGS

 24. kaka endelea tu! ujumbe unawafikia,kazi zako ni nzuri nazifurahia niko pamoja na wewe keep it up

 25. kanzi nzuri na inaujumbe kaza buti mtu wangu.

 26. Hi Nathan site yako imetulia safi sana kwa kuwa mbunifu wa maswala kama haya tena kwa sisi wapenzi wa katuni da umetufikisha sana hapo fine big up Nathan

 27. Mambo yako supa sana Nathan! Katuni zako zote zimetulia sana! duh bigup!

 28. Asanteni sana wadau wangu. Nathamini sana mchango wenu.

  Nathan

 29. Kaka mambo vipi??

  naonavitu vyako mkuu,vinatisha kama janga la njaa na nakuhakikishia mkuu ukiendelea kukaza buti utawapiga bao la kisigino wengi tu.nakutakia kila la kheri katika kuendeleza libeneke lako mkuu.

  pamoja kwa sana tuuuu.
  ukipata nafasi waweza nitilia maguu katika mtaa wangu huu hapa http://michuzijr2.wordpress.com

  pamojah Mkuu

 30. mhm babu kubwa kazi nzuri sana make inafurahisha na kuelimisha pia. big up!

 31. Kazi nzuri sana kaka,endelea kuwa mbunifu zaidi. Big up.

 32. Hongera kaka Nathan.
  I love ur cartoons, very educative and yet still funny.
  Keep up the good work.
  God bless u and best wishes always.

 33. upo up.jaribu kwa google tafuta international cartoons contests katuni zako ziko juu.unajennga maana.tupo pamoja….tusukume gurudumu

 34. nimepend hii michoro sana inaburudisha enedelea kufanya hii kazi nzuri inayopendeza

 35. i am happy to link you to the upcoming cartoonists and graphic designers of JICHO KWA VIJANA a CBO in Nyegezi Mwanza. because your work is interesting with unique creativity….

 36. Hi David,
  Shaka ondoa. Tuendelee kuwasiliana.

 37. BIG UP MWANA, HALELUYA…

 38. Jambo Nathan
  ninafurahi unaonyesha kazi yako katika Internet. Tena ninataka kuuliza jinsi gani tutaweza kusaidia yule Cartoonist kutoka Somalia. Daniel

 39. hii is one of the best few ways to have your voice heard. in our African and Asian countries
  where every nail that sticks up gets hammered down

  bigUP

 40. Hi brother kazi zako hazina maswali ni majibu tosha sana kaka,please kaza buti mana siku hizi sanaa ni wengi wanaifanya wewe endelea na kazi zako huku ukiwa mbunifu kila siku,Mungu atafanya njia kwako shaka ondoa kaka,Binafsi nakupa hongera zako kaka

 41. Thanks Babito.

 42. Dah mzee hili ni bonge la step forward.Endelea hivyo hivyo mzee,hongera kwa elimu unayotoa na kwa kutukumbuka wapenzi wa katuni kwa sababu tulisahaulika toka enzi ya SANIFU.
  BIG UP……..

 43. HI
  kaka hapa mmefanya kitu cha maana
  ila ikiwezekana fanyeni mpango mwanzishe tena
  gazeti la Sanifu
  na uhakika hata mkiuza Tshs 500 kwa nakala
  tutanunua
  BIG UP

 44. kaka mnatisha and am happy leo kutembelea web yako.keep it up

 45. Kazi nzuri sana. Shukrani kwa kumulika kio cha jamii.

 46. Hongera Nat wewe ni “genius” Keep up good work.
  Naomba utuchoree katuni ya wabunge jinsi wanavyoichachafya serikali bungeni wakati wenyewe hamna lolote la maana wanalolifanya majimboni mwao.wananchi bado wanasota .Si unajuwa uchaguzi ni mwakani kila mbunge anataka kuongea na kuikosoa serikali.Hii ni janja yao tumewagungua.

  Mdau wa CA

 47. kaka habari?

  madhila ya mikopo ya kinamama ni kama mambo ya kujitakia kwani wangejua ujaja wa lugha wala wasingekopa.

  kaw mfano finca wanasema “SMALL LOAN BIG CHANGES” lakini ikitoa N kwenye changes na kuweka R ingesomeka “SMALL LOAN BIG CHARGES maana riba ni karibu 69% . unaipata hiyo

 48. Thanks wadau wangu kwa maoni yenu yenye mtazamo mpana zaidi, nitayafanyia kazi.

 49. big up kaka kazi yako nimeipenda. hongera

 50. Uko juu Nathan!Vey educative and highly amusing.

 51. SulemaRX, Challo asanteni sana kwa kutembelea blog na pongezi zenu.

  Nathan

 52. kaka nakukubali uaelimisha jamii kaza butim usibweteke kwa ulipofika kuwa mbunifu zaidin tupo pamoja nawewe

 53. Yes kaka, asante kwa kutulisha mavitu tuyatakayo hewani,Full Elimu mkubwa.Hebu ifanyie kazi hii ya Sticker za Fire mkubwa.
  nakutakia Kazi Njema
  Mungu akubariki uendelee na mambo kabambe kama haya. SAFI SANA

 54. wela wela kaka long taimu . nimevisiti. uko gado poa mwana wanasema waswahili wa dar nitakuvisiti tena kile kidaladala mbona umemwachia dereva asiyejua kuliendesha

 55. hongera sana

 56. hongera nathani kazi nzuri

 57. Cograts Mr, always aim higher, you wont mess-up!!!!!!!!!!

 58. Hi Seif.
  thank you for your compliment.

 59. Heey Nathan!!

  Hope you can remember me. Worked together @Tinga! Good work you’re doing here! I still love your toons!
  Keep up!

  .Waigwa.

 60. mwana vipi mambo, mimi ni mkazi wa mgeni nani kata ya kijichi nina mawozo tasa kuhusu mgomo wa madaktari; kwa upande wangu mimi naona nikituko kwani hawa madktari tumewasomesha kwa pesa zetu lkn chakunisangaza wana goma kwa kisingizio cha masliai ambayo hata kama wao ndio wangekuwa viongozi hawange kubali kulipa hicho wanacho dai. Pia nawananchi wanao waunga mkono nawashanga kwakuwa wao ndio waathirika wakuu hata kabla ya mgomo kwa maana ya kwamba ukisha ugua cha kwanza nikuwa uwe unapesa kwakuwa huyu docta anae dai maslahi madogo hata kushughulikia kama pesa huna kinyime cha hayo utaa hospto mpaka ukome. mimi sipingi maslai ninachosema je wana fanya kazi kwa juhudi? au niwapiga debe gari ikijaa pesa utazani wao ni ngazi za kupandi bas kwa leo naishia hapa.

 61. ndio kwanza naonekana, nipe muda mwanangu, nafagilia sana… pamoja sana… ‘i love cartoon messages very much, keep it up…’

 62. Thank you for sharing superb informations. Your site is so cool. I’m impressed by the details that youˇve on this blog. It reveals how nicely you perceive this subject. Bookmarked this web page, will come back for more articles. You, my pal, ROCK! I found simply the information I already searched all over the place and simply could not come across. What an ideal web site.nuderm obagi.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: