Posted by: nathankatuni | May 17, 2009

usawa uwapi?

katuni itv 27 and 28 april .09


Responses

  1. Hakuna usawa, wizi mtupu.

  2. Mawazo mbadala: Mlipa kodi anaafya njema, ni mtu wa mazoezi na kujishughulisha; fisadi ana afya mgogoro(obesity), anatishio la magonjwa ya kisukari na moyo!
    Fisadi haitumii kodi ya Mlipa kodi vizuri, mwishoe inamtokea mgongoni na tumboni!


Leave a comment

Categories