haya tena wadau wangu, kiwanja kingine cha kupata ujumbe huku ukivunja mbavu mojamoja
ndio hiki, www.nathankatuni.wordpress.com
yua mosti welkam
.................................
usikose kuangalia kibonzo mara baada ya
taarifa ya habari saa mbili usiku ITV.
jumatatu mpaka ijumaa
.................................
pata gazeti la majira kila siku. humo kijasti
kajaa tele akidadavua siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo nk
................................
mchoraji katuni pitia pitia hii blog ili upate
nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali
duniani
Mimi ni msomaji wa catoons zako.
Naomba kujua aina ya software unayotumia kuchora picha zako.
Naweza kuipata kwenye tovti yeyote?
By: Tijay Mart on November 9, 2010
at 7:30 am